NOTE: Ukiombwa pesa kwa ajili ya interview au ili upate kazi tafadhali usitume pesa yako 1. Agricultural and Extension Field Officers (2 posts) Reporting to : Agricultural and Extension Manager, Masasi Banana Marketing Association Location : Mtwara Application Deadline : 10-11-2016 JOB PURPOSE: • To assist in the attainment of the Fund's cashewnut production growth strategy by effectively implementing, monitoring and evaluating the cashew planting projects. PRIMARY TASKS: • Liaising and working closely with District Subject Matter Specialists of Cashewnut. • To assist clients in timely preparation of needed planting materials. • To assist timely distribution of planting materials to nursery producers and farmers. Also to ensure that all distributed seeds and seedlings are planted and well-kept to growth. • Training and capacity building to farmers and village/ward extension officers on good agricultural practices. • Maintaining up to date directory of cashewnut farmers. • To as
Bodi ya Ushirika wa Wakulima Wadogowadogo wa Kilimo cha Umwagiliaji mpunga Dakawa Ltd inatangaza nafasi ya ajira ya Meneja wa shamba katika mashamba 10 ya mpunga Dakawa. Majukumu ya meneja wa shamba (Farm Manager) 1. Kusimamia shughuli zote za uzalishaji katika msimu kwa kuzingatia kalenda 2. Kuandaa kalenda ya umwagiliaji (Irrigation scheduling) kwa kila msimu 3. Kuhakikisha wakulima wanapanda mazao yaliyoidhinishwa msimu husika 4. Kuratibu shughuli za umwagilioji katika skimu 5. Kuandaa mpango kazi na kusimamia ukarabati wa miundombinu ya umwogiliji katika skimu 6. Kuandaa na kusimamia matumizi bora ya zana za kilimo 7. Kuhakiki na kusimamia matumizi ya mbolea na viuatilifu 8. Kusimamia na Kuratibu maswala ya mazingira katika skimu 9. Kuandaa ripoti ya mwezi, robo, nusu, robo tatu mwaka na mwaka mzima 10. Kuandika no kutunza kumbukumbu za vikao vya bodi (Atakuwa katibu wa Bodi) 11. Kushirikiana na Bodi katika kuandaa mipanga ya maendeleo ya muda mfupi na ya muda mrefu 12. Kuandaa ta
Comments
Post a Comment