FUNDI SANIFU MAABARA MIFUGO DARAJA LA II (VETERINARY LABORATORY TECHNICIAN II)- - 5 POST


Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2016-05-11
Application Deadline: 2016-05-25


JOB SUMMARY:
N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
•    Kwa kushirikiana na Afisa Mifugo Msaidizi, atafanya uchunguzi wa magonjwa ya mifugo katika eneo lake.
•    Atakusanya sampuli kwa ajili ya uchunguzi wa maabara.
•    Kuwasaidia wataalam kuanda vifaa vya uchunguzi
•    Kutunza Usafi wa Maabara na vyombo vilivyomo.
•    Kutunza takwimu za uchunguzi 
•    Atafanya kazi zingine zozote kama atavyopangiwa na mkubwa wake wa kazi

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
•    Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha sita (VI) waliofuzu mafunzo ya miaka miwili (2) ya Stashahada katika fani ya Fundi Sanifu Maabara (Mifugo) kutoka Chuo cha Mifugo (LITI), au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.C 

Comments

Top Jobs that others viewed

AFISA MISITU DARAJA LA II (FORESTRY OFFICER GRADE II)- - 4 POST