Posts

Showing posts with the label NAFASI ZA KAZI

Nafasi ya kazi: Afisa Mifugo anahitajika

Image
Nafsi hii iko wazi kwa sasa, kwa anyehitaji kuomba afuate maelekezo yafuatayo... Details Employer Name : Guru Planet Organization Type : Company Position Type:  Full Time Location:  Dar Es Salaam; Ilala, Kariakoo Application Deadline:  20-01-2017 Description Afisa mifugo anatakiwa awe na sifa zifuatazo: ·      Awe na uzoefu usiopungua miaka 2 ·      Kwa aliyesoma SUA atakuwa na nafasi ya upendeleo Application Instructions Tuma maombi yako katika address zifuatazo, info@guruplanet.co.tz  au guruplanet2016@gmail.com  Ambatanisha CV yako, ikiwa na wadhamini wawili (2). Warning:  Don’t pay for your application to be processed or be positively considered. Any job vacancy requesting payment for any reason is a scam. Angalizo:  Tafadhali: usitoe pesa yako ili ufanyiwe interview au uajiliwe, wanaomba pesa ni matapeli. Usiwape pesa yako.