Nafasi ya kazi: Afisa Mifugo anahitajika
Nafsi hii iko wazi kwa sasa, kwa anyehitaji kuomba afuate maelekezo yafuatayo...
Details
Employer Name: Guru Planet
Organization Type: Company
Position Type: Full Time
Location: Dar Es Salaam; Ilala, Kariakoo
Application Deadline: 20-01-2017
Description
Afisa mifugo anatakiwa awe na sifa zifuatazo:
- · Awe na uzoefu usiopungua miaka 2
- · Kwa aliyesoma SUA atakuwa na nafasi ya upendeleo
Application Instructions
Tuma maombi yako katika address zifuatazo, info@guruplanet.co.tz au guruplanet2016@gmail.com Ambatanisha CV yako, ikiwa na wadhamini wawili (2).
Warning: Don’t pay for your application to be processed or be positively considered. Any job vacancy requesting payment for any reason is a scam.
Angalizo: Tafadhali: usitoe pesa yako ili ufanyiwe interview au uajiliwe, wanaomba pesa ni matapeli. Usiwape pesa yako.
Comments
Post a Comment