NAFASI YA KAZI: Meneja wa Shamba

farm-manager
Bodi ya Ushirika wa Wakulima Wadogowadogo wa Kilimo cha Umwagiliaji mpunga Dakawa Ltd inatangaza nafasi ya ajira ya Meneja wa shamba katika mashamba 10 ya mpunga Dakawa.

Majukumu ya meneja wa shamba (Farm Manager)
1. Kusimamia shughuli zote za uzalishaji katika msimu kwa kuzingatia kalenda
2. Kuandaa kalenda ya umwagiliaji (Irrigation scheduling) kwa kila msimu
3. Kuhakikisha wakulima wanapanda mazao yaliyoidhinishwa msimu husika
4. Kuratibu shughuli za umwagilioji katika skimu
5. Kuandaa mpango kazi na kusimamia ukarabati wa miundombinu ya umwogiliji katika skimu
6. Kuandaa na kusimamia matumizi bora ya zana za kilimo
7. Kuhakiki na kusimamia matumizi ya mbolea na viuatilifu
8. Kusimamia na Kuratibu maswala ya mazingira katika skimu
9. Kuandaa ripoti ya mwezi, robo, nusu, robo tatu mwaka na mwaka mzima
10. Kuandika no kutunza kumbukumbu za vikao vya bodi (Atakuwa katibu wa Bodi)
11. Kushirikiana na Bodi katika kuandaa mipanga ya maendeleo ya muda mfupi na ya muda mrefu
12. Kuandaa taarifa ya mapatono matumizi ya UWAWAKUDA
13. Kuishauri Bodi kuhusu maswala yo rasilimali watu
14. Kuajiri vibarua katika shughuli za uendeshaji mashambani
15. Awe tayari kufanya shughuli nyingine kadri atakavyo agizwa na Bodi

Sifa za mwombaji
Mwombaji wa nafasi hii anapaswa kuwa no sifa zifuatazo:-
1. Awe raia wa Tanzania
2. Awe na stashahada yo umwagiliaji kutoka katika chuo kinachotambulika no Serikali ya Jamhuri yo Muungano wa Tanzania
3. Awe na Ujuzi wa kutumia kompyuta
4. Asiwe na rekodi ya kushitakiwa kwa kosa la jinai ama rushwa
5. Awe mwenye umri kati ya 25 - 45

Mshahara na marupurupu: Maelewano

Namna ya kutuma maombi
Maombi yatumwe kwa:-
Mwenyekiti wa Bodi ya UWAWAKUDA,
S.LP 849,
Morogoro.

Application Deadline: 23-11-2016

Comments

Top Jobs that others viewed

AFISA MISITU DARAJA LA II (FORESTRY OFFICER GRADE II)- - 4 POST