Employer: MDAs & LGAs Date Published: 2016-05-11 Application Deadline: 2016-05-25 JOB SUMMARY: N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES: • Kusimamia uanzishaji wa hifadhi za nyuki na manzuki. • Kutangaza Sera na Sheria za ufugaji nyuki. • Kufundisha masomo ya fani ya ufugaji nyuki. • Kukusanya takwimu za rasilimali na ufugaji nyuki. • Kupanga na kupima ubora wa mazao ya nyuki. QUALIFICATION AND EXPERIENCE: • Kuajiriwa wenye Shahada katika fani ya Ufugaji Nyuki au Sayansi ya Elimu ya Mimea, Elimu ya Wadudu au Elimu ya Wanyama kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali. REMUNERATION: Salary Scale TGS.D APPLY
Employer: MDAs & LGAs Date Published: 2016-05-11 Application Deadline: 2016-05-25 JOB SUMMARY: N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES: • Kwa kushirikiana na Afisa Mifugo Msaidizi, atafanya uchunguzi wa magonjwa ya mifugo katika eneo lake. • Atakusanya sampuli kwa ajili ya uchunguzi wa maabara. • Kuwasaidia wataalam kuanda vifaa vya uchunguzi • Kutunza Usafi wa Maabara na vyombo vilivyomo. • Kutunza takwimu za uchunguzi • Atafanya kazi zingine zozote kama atavyopangiwa na mkubwa wake wa kazi QUALIFICATION AND EXPERIENCE: • Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha sita (VI) waliofuzu mafunzo ya miaka miwili (2) ya Stashahada katika fani ya Fundi Sanifu Maabara (Mifugo) kutoka Chuo cha Mifugo (LITI), au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. REMUNERATION: Salary Scale TGS.C APPLY Tazama ajira zingine
Comments
Post a Comment