Bodi ya Ushirika wa Wakulima Wadogowadogo wa Kilimo cha Umwagiliaji mpunga Dakawa Ltd inatangaza nafasi ya ajira ya Meneja wa shamba katika mashamba 10 ya mpunga Dakawa. Majukumu ya meneja wa shamba (Farm Manager) 1. Kusimamia shughuli zote za uzalishaji katika msimu kwa kuzingatia kalenda 2. Kuandaa kalenda ya umwagiliaji (Irrigation scheduling) kwa kila msimu 3. Kuhakikisha wakulima wanapanda mazao yaliyoidhinishwa msimu husika 4. Kuratibu shughuli za umwagilioji katika skimu 5. Kuandaa mpango kazi na kusimamia ukarabati wa miundombinu ya umwogiliji katika skimu 6. Kuandaa na kusimamia matumizi bora ya zana za kilimo 7. Kuhakiki na kusimamia matumizi ya mbolea na viuatilifu 8. Kusimamia na Kuratibu maswala ya mazingira katika skimu 9. Kuandaa ripoti ya mwezi, robo, nusu, robo tatu mwaka na mwaka mzima 10. Kuandika no kutunza kumbukumbu za vikao vya bodi (Atakuwa katibu wa Bodi) 11. Kushirikiana na Bodi katika kuandaa mipanga ya maendeleo ya muda mfupi na ya muda mrefu 12. Kuandaa ta...
Ufugaji wa kuku ni nyenzo nzuri ya kujipatia kipato katika kaya kwa sababu hauhitaji mtaji mkubwa na hauna kazi kubwa kiuendeshaji. Katika ufugaji huria kuku hujitafutia chakula wenyewe. UTANGULIZI Ufugaji wa kuku ni nyenzo nzuri ya kujipatia kipato katika kaya kwa sababu ufugaji wa kuku hauhitaji mtaji mkubwa na hauna kazi kubwa kiuendeshaji. Katika ufugaji huria kuku hujitafutia chakula wenyewe. Pia inapowezekana hupewa mabaki ya chakula, chenga, pumba au nafaka yoyote inayopatikana katika mazingira husika. Kwa walio wengi ifikapo nyakati za jioni, kuku hulala jikoni au ndani nyumbani kwa mfugaji mwenyewe. Ufugaji huu ni rahisi kwa kuwa hauna gharama kubwa ila faida yake ni kitoweo tu au fedha kidogo sana. Tanzania ina idadi ya kuku wa kienyeji wanaokadiriwa kuwa million 34 ambao wanafugwa kwa mtindo wa huria. Ufugaji wa aina hii hufanyika vijijini na mijini pia. Idadi hii ya kuku bado ni ndogo ikilinganishwa na mahitaji halisi ya Watanzania wanaokadiriwa kuwa milioni 40 (sens...
Employer: MDAs & LGAs Date Published: 2016-05-11 Application Deadline: 2016-05-25 JOB SUMMARY: N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES: • Kusimamia upandaji na uhudumiaji wa miti na misitu. • Kusimamia uendelezaji wa misitu ya kupandwa isiyozidi hekta 5,000 au ya asili isiyozidi hekta 10,000. • Kufanya utafiti wa misitu. • Kutekeleza Sera na Sheria za misitu. • Kuendesha mafunzo ya Wasaidizi Misitu. • Kukusanya takwimu za misitu. • Kufanya ukaguzi wa misitu. • Kupanga na kupima madaraja ya mbao. • Kudhibiti leseni na uvunaji wa miti. • Kutoa ushauri na mafunzo kwa wananchi juu ya uendelezaji na matumizi endelevu ya miti kwa wananchi. • Kufanya ukadiriaji wa rasilimali za misitu. • Kupima maeneo na kuchora ramani za misitu. QUALIFICATION AND EXPERIENCE: • Kua...
Comments
Post a Comment