Good news, NURET CONSULTANTS CO. LTD (P.O BOX 3672 DAR ES SALAAM , TANZANIA) invites qualified persons for the following vacant positions. Remember to read the qualifications required carefully. 1. REGIONAL VETERINARY OFFICER (Disease Control) ( x 9 positions ) Job Duties & Responsibilities @Reports to the CDVS @Co-ordinate disease, research, data collection, analyzes and write Technical Disease and Pest Reports. @Undertake Disease Control activities such as disease surveillance, route inspection, sample collection & dispatch, vaccinations and enforce livestock movement regulations. @Supervise A.I service & drug outlets @Supervise all inspection services. @Collaborate with stakeholders in veterinary extension. @Compile comprehensive veterinary monthly reports @Undertake investigation of referral cases in the District Requirements @Bachelor of veterinary medicine from a recognized institution @At least six months experience in the field @Kn...
Ufugaji wa kuku ni nyenzo nzuri ya kujipatia kipato katika kaya kwa sababu hauhitaji mtaji mkubwa na hauna kazi kubwa kiuendeshaji. Katika ufugaji huria kuku hujitafutia chakula wenyewe. UTANGULIZI Ufugaji wa kuku ni nyenzo nzuri ya kujipatia kipato katika kaya kwa sababu ufugaji wa kuku hauhitaji mtaji mkubwa na hauna kazi kubwa kiuendeshaji. Katika ufugaji huria kuku hujitafutia chakula wenyewe. Pia inapowezekana hupewa mabaki ya chakula, chenga, pumba au nafaka yoyote inayopatikana katika mazingira husika. Kwa walio wengi ifikapo nyakati za jioni, kuku hulala jikoni au ndani nyumbani kwa mfugaji mwenyewe. Ufugaji huu ni rahisi kwa kuwa hauna gharama kubwa ila faida yake ni kitoweo tu au fedha kidogo sana. Tanzania ina idadi ya kuku wa kienyeji wanaokadiriwa kuwa million 34 ambao wanafugwa kwa mtindo wa huria. Ufugaji wa aina hii hufanyika vijijini na mijini pia. Idadi hii ya kuku bado ni ndogo ikilinganishwa na mahitaji halisi ya Watanzania wanaokadiriwa kuwa milioni 40 (sens...
Comments
Post a Comment