Posts

Showing posts from May, 2016

NAFASI ZA KAZI

Image
Applications are invited from qualified persons for the following vacant positions. Remember to read the qualifications required carefully. 1.      SENIOR FIELD OFFICER Details Industry: Agriculture Position: Senior Field Officer Location: Mbinga Work type: Full Time Description The candidate will train producers on sustainability standards that will comply with certification standards JOB SUMMARY The chosen candidate will be required to work closely with farmer groups and co-operatives in Ruvuma in agricultural practice trainings, certification programs, data collection and the management of financial inputs. The main role of the field support team is to build and manage relationships between farmer groups and the company. The candidate will also support the company in sourcing and promoting the production of high quality coffee from smallholders, co-operatives and estates in Tanzania. Other roles include training farmers on agronomic subjects and good practices that will improve the

AFISA MISITU DARAJA LA II (FORESTRY OFFICER GRADE II)- - 4 POST

Employer: MDAs & LGAs Date Published: 2016-05-11 Application Deadline: 2016-05-25 JOB SUMMARY: N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES: •    Kusimamia upandaji na uhudumiaji wa miti na misitu. •    Kusimamia uendelezaji wa misitu ya kupandwa isiyozidi hekta 5,000 au ya asili isiyozidi hekta 10,000. •    Kufanya utafiti wa misitu. •    Kutekeleza Sera na Sheria za misitu. •    Kuendesha mafunzo ya Wasaidizi Misitu. •    Kukusanya takwimu za misitu. •    Kufanya ukaguzi wa misitu. •    Kupanga na kupima madaraja ya mbao. •    Kudhibiti leseni na uvunaji wa miti. •    Kutoa ushauri na mafunzo kwa wananchi juu ya uendelezaji na matumizi endelevu ya miti kwa wananchi. •    Kufanya ukadiriaji wa rasilimali za misitu. •    Kupima maeneo na kuchora ramani za misitu. QUALIFICATION AND EXPERIENCE: •    Kuajiriwa wenye Shahada ya Misitu kutoka chuo Kikuu cha kilimo cha Sokoine au Vyuo Vikuu vingine vinavyotambuliwa na Serikali. REMUNERATION: Salary Scale TGS.D  APPLY

FUNDI SANIFU MAABARA MIFUGO DARAJA LA II (VETERINARY LABORATORY TECHNICIAN II)- - 5 POST

Employer: MDAs & LGAs Date Published: 2016-05-11 Application Deadline: 2016-05-25 JOB SUMMARY: N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES: •    Kwa kushirikiana na Afisa Mifugo Msaidizi, atafanya uchunguzi wa magonjwa ya mifugo katika eneo lake. •    Atakusanya sampuli kwa ajili ya uchunguzi wa maabara. •    Kuwasaidia wataalam kuanda vifaa vya uchunguzi •    Kutunza Usafi wa Maabara na vyombo vilivyomo. •    Kutunza takwimu za uchunguzi  •    Atafanya kazi zingine zozote kama atavyopangiwa na mkubwa wake wa kazi QUALIFICATION AND EXPERIENCE: •    Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha sita (VI) waliofuzu mafunzo ya miaka miwili (2) ya Stashahada katika fani ya Fundi Sanifu Maabara (Mifugo) kutoka Chuo cha Mifugo (LITI), au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. REMUNERATION: Salary Scale TGS.C  APPLY Tazama ajira zingine  

MFUGAJI NYUKI MSAIDIZI DARAJI LA II- - 5 POST

Employer: MDAs & LGAs Date Published: 2016-05-11 Application Deadline: 2016-05-25 JOB SUMMARY: N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES: •    Kusimamia manzuki. •    Kutunza hifadhi za nyuki. •    Kukusanya takwimu za ufugaji nyuki. •    Kutunza kumbukumbu za kazi za utafiti. •    Kuondoa nyuki wanaodhuru binadamu na mifugo. •    Kutoa leseni za biashara ya mazao ya nyuki. •    Kutoa ushauri wa kitaalam kwa wananchi juu ya ufugaji endelevu wa nyuki na matumizi bora ya mazao ya nyuki. •    Kutunza makundi ya nyuki wanaouma na wasiouma. QUALIFICATION AND EXPERIENCE: •    Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha Nne au Sita wenye Astashahada (Cheti) au Stashahada (Diploma) ya Ufugaji Nyuki kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. REMUNERATION: Salary Scale TGS.C  APPLY

AFISA UFUGAJI NYUKI DARAJA LA II (BEEKEEPING OFFICER II) - 5 POST

Employer: MDAs & LGAs Date Published: 2016-05-11 Application Deadline: 2016-05-25 JOB SUMMARY: N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES: •    Kusimamia uanzishaji wa hifadhi za nyuki na manzuki. •    Kutangaza Sera na Sheria za ufugaji nyuki. •    Kufundisha masomo ya fani ya ufugaji nyuki. •    Kukusanya takwimu za rasilimali na ufugaji nyuki. •    Kupanga na kupima ubora wa mazao ya nyuki. QUALIFICATION AND EXPERIENCE: •    Kuajiriwa wenye Shahada katika fani ya Ufugaji Nyuki au Sayansi ya Elimu ya Mimea, Elimu ya Wadudu au Elimu ya Wanyama kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali. REMUNERATION: Salary Scale TGS.D  APPLY